Ads (728x90)

Mwanafunzi wa kidato cha Pili Martin Shadrack Kebesho aliyekuwa anasoma katika shule moja ya sekondari(jina linahifadhiwa kwa sasa) hajulikani alipo, alitoweka shuleni akiwa taabani baada ya kutandikwa bakora zinazodaiwa kufikia 40, Walimu washikwa na kigugumizi kueleza ukweli,wazazi wahaha kumtafuta kila kona, wamefika hospitali zote za mkoa wa Mbeya hadi chumba cha maiti hawajamuona, Polisi wasuasua kufuatilia, utata wagubika, jamiii yahoji kulikoni mtoto huyu kupotea katika mazingira yenye utata...endelea kufuatilia, taarifa hii ya uchunguzi inayofanywa na timu ya waandishi mahiri waliobobea katika habari za Uchunguzi.

Post a Comment

  1. Kaka hiyo nimeiona....Ni kweli tukio lipo lakini inaleta mashaka kuwa mtu aliondoka akiwa mahututi! aliondokaje akiwa mahututi?

    ReplyDelete