Ads (728x90)


Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akikata utepe kuzindua Kituo cha Biashara cha NMB kilichopo tawi la Benki ya NMB Mwanjelwa, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Tanzania Ineke Bussemaker

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Tanzania Ineke Bussemaker kabla ya uzinduzi wa kituo cha Biashara kanda ya Nyanda za Juu kusini

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Tanzania Ineke Bussemaker akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo Cha Biashara kwa wateja wa Benki ya NMB mwishoni mwa wiki.



Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakibadilishana mawazo na Mkurungenzi mtendaji wa Benki hiyo Ineke Bussemaker wakati wa uzinduzi wa Kituo Cha Biashara kanda ya Nyanda za Juu Kusini

Post a Comment