Ads (728x90)


Rais Zuma akiwa na mkewe wa pili Nompumelele Ntuli 

Rais Zuma na mkewe Thobeka Madiba 







Wake wa Rais Zuma kutoka kushoto ni Bongi Ngema,Thobeka Madiba,Nompumelele Ntuli na Makhumalo Zuma

Jumba la Rais Jacob Zuma linalodaiwa kugharimu dola mil 23 fedha zinazotokana na kodi za wananchi

Jacob Gedleyihlekisa Zuma(74), Rais Afrika Kusini aliyoongoza nchi hiyo kwa miaka 7 sasa amefikia hatua mbaya kutokana na madai ya matumizi mabaya ya fedha za umma, wananchi wapaza sauti na kuzomea hadharani!!!( pata stori ikiwa ni pamoja na idadi ya wake alionao pamoja na watoto wake 22.
Rais Zuma amekumbwa na kashfa hiyo na sasa amefikia hatua mbaya zaidi juu ya kashfa ya matumizi mabaya ya fedha,akidaiwa kujenga jumba la kifahari kwa matumizi ya fedha za umma,zinazokadiriwa kufikia dola Mil 23  kesi yake imefika mahakamani wananchi wake wamefikia hatua ya kupaza sauti na kumzomea….pata stori kupitia www.mkwinda.blogspot.com
(Run!!! Zuma Run!!! South Africa is not need Jacob Zuma!!!) ondoka Zuma Ondoka! Afrika Kusini haikuhitaji) ni maneno ya baadhi ya wananchi wa Afrika Kusini waliokusanyika  jana.
Zuma ambaye ni rais kupitia chama tawala cha ANC anaelezwa kuwa na watoto wapatao 22 na wake watano na kwamba amekuwa akitumia vibaya fedha za serikali katika uongozi wake tangu aingie madarakani miaka 7 iliyopita May 9 2009


.

Post a Comment