Ni muda mrefu hatukuwa pamoja hii nadhani ni kutokana na ishtighali mbalimbali za kiduni lakini naamini kutokana na hali hiyo kila mmoja analo lake moyoni ambalo ni wajibu alifikishe katika jamii inayomzunguka, naamini nyote mnatarajia kupata kitu kipya ama vitu vipya kupitia blog ya Kifasihi nawasihi tuungane kwa ushauri katika kuboresha mazingira yetu ya maisha kwa mnasaba wa maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana.
Wakatabahu
Post a Comment
Post a Comment