Hiki ni kijiwe cha watoto ama ni kazini? Rashid Mkwinda 4:36 PM Duu!!! hawa watoto!!! sijui ndio wako katika pozi baada ya kufanya kibarua cha kubeba mawe au wamebarizi kupunga upepo!!! hapa ni katika kijiji cha Kasyabone kilichopo wilayani Rungwe.
Post a Comment
Post a Comment