Ads (728x90)

Watoto hawa wa shule ya msingi ya Igangwe iliyopo katika kata ya Mtanila wilayani Chunya wakiburudika kwa maji baada ya kushikwa na kiu, mmmhhh!!! sijui kama haya maji ni salama kwa matumizi yao, kuna umuhimu wa somo la Maarifa ya jamii zamani Sayansi kimu liendelee kudumishwa mashuleni.Ili kufika hapa unatakiwa kusafiri umbali wa kilomita zipatazo 85 kutoka makao makuu ya wilaya, na kilomita 160 kutoka mkoani.

Post a Comment

Post a Comment