Ads (728x90)


Haya ni baadhi ya magofu na mabaki ya msikiti wa kale huko Kilwa ni miongoni mwa miji ya kale zaidi duniani na ni dola ya kwanza katika Afrika Mashariki kuwa na sarafu yake yenyewe.
Ustaarabu wa awali katika Pwani ya Afrika Mashariki ulianzia hapa,ni mji wenye vivutio maarufu ambavyo havipo mahala pengine duniani,
Huku ndiko alikotokea Mwanafasihi wetu wa Blog hii Rashid Mkwinda.

Post a Comment

Post a Comment