Maisha ya Ikulu rahaaa!!!!
BABA:Wanangu mwayaonaje maisha ya hapa White House ni yanaweza kufanana na maisha ya kule wanakoishi akina bibi zenu na baba mzaa mimi? kule Afrika Mashariki?
WATOTO:Ahh!!! Dady kwani sisi tumetokea Afrika Mashariki?
BABA:Yeah ndio mmetokea Afrika Mashariki tena nyinyi ni Wajaluo halafu Babu yenu aliyenizaa mimi Mzee Husein alikuwa ni Mwislamu.
WATOTO:Sasa Dady ilikuwaje sisi tuko huko halafu wewe ndiye umekuwa Rais wa dunia wa kwanza kuwa mweusi aliyetokea Afrika Mashariki kuongoza nchi kubwa kama hii ya Marekani...hawawezi kukukill Dady?
BABA:Hakuna kitu kama hicho....lakini mmmmhhh inaweza kutokea maneno ya hawa watoto si ya kudharau!!!!
WATOTO:Lakini Dady naona unatutania hivi sisi tumekuwa watoto wa Rais wa nchi kubwa kama Marekani....mbona kama ndoto hivi au tunaota tukiamka tutarudi kuishi kule kule mashenzini tulikukowa tunaishi zamani eti Dady?.
BABA:Hapana hapa ndipo makazi yetu kwa sasa wala sio ndoto...mimi ndiye Rais wa Dunia kwa sasa hakuna mwingine....lazima nitaifagilia Afrika Mashariki....na lazima nitaifagilia dini ya babu yenu mzee Husein maana bila yeye leo hii mimi nisingekuwepo na wala mama yenu nisingeweza kumuoa na nyie msingezaliwa....(JOKES)
Ni kama wanaonekana wakiteta hivi baba na wanaye wakiwa wametulia katika Ikulu ya White House nchini Marekani.
Post a Comment
Post a Comment