Si kipenzi cha watu hata wanyama wamfurahia
Rais Barack Husein Obama pichani akifurahia maisha na mbwa wake Ikulu ya White House, maisha anayoishi mbwa huyu ni bajeti ya nchi yetu kwa ..........mzima.Viongozi wa nchi zetu za Afrika hususani wa Tanzania wafanye basi nasi tufurahie maisha kama anayofurahia Mbwa huyu wa Ikulu ya Obama inawezekana iwapo viongozi watafuata sera zao na ahadi zao wakati wa kampeni za uchaguzi,,ili mradi wakiacha ubabaishaji.
Post a Comment
Post a Comment