Ads (728x90)



Mtoto huyu mwenye afya njema ana umri wa miaka mitatu anaishi katika kijiji cha Ukwavila wilayani Mbarali, aina yake ya mavazi yaliyomsitiri ni ubunifu wa kazi za mikono, hahitaji nguo zaidi ya hizo alizovaa,aina hii ya mavazi humziba mbele tu lakini upande wa makalio imeachwa wazi ili anaposhikwa na haja asipate tabu ya kwenda chooni kujisaidia.Famili zingine zinaweza kuiga aina hii ya mavazi husaidia watoto kutochafua nguo,vazi hili limetengenezwa kwa shanga tupu kama linavyoonekana pichani.

Post a Comment

Post a Comment