Ads (728x90)



Hili ni fuvu la kichwa cha kiongozi wa wahehe Mtwa Mkwawa au Mkwavinyika kama walivyokuwa wakimuita wenyeji wa mji huo, kiongozi huyu wa wahehe ambaye ngome yake ilikuwa katika mji wa Kalenga kilomita kadhaa kutoka mjini Iringa aliaumua kujiua na kujipiga risasi ili kuepuka kudhalilishwa au kukutwa hai na wakoloni wa Kijerumani, inaelezwa kuwa desturi hii ni sehemu ya ushujaa wa wanaume au watu wa kabila hili 'KUJIUA'au kujinyonga ili kukwepa kudhalilishwa kwa namna yoyote ile na hivyo ndiyo hasa sababu za watu wa kabila hili wengi wao hujinyonga mara wanapoudhiwa na waume zao ama wake zao.Lakini si desturi nzuri ikumbukwe kuwa Mkwawa alijotoa mhanga ili kutetea ardhi ya nchi yake isivamiwe na wakoloni.

Post a Comment

Post a Comment