Ads (728x90)




Mkazi wa Wanging'ombe wilayani Njombe mkoani Iringa Festo Msigwa fundi mhunzi akifua vyuma kwa ajili ya kutengeneza vifaa vya chuma kama vile Plau za kulimia kwa ng'ombe, visu, majembe,Mundu, shoka nk,wabunifu wa kazi za mikono kama hawa wakiwezeshwa na kutafutiwa masoko, tatizo la umaskini litakuwa ni ndoto kwa Watanzania.

Mbunifu huyu alikutwa na Bloger wetu katika maonesho ya Kilimo Nane Nane katika uwanja wa maonesho hayo mjini Mbeya.

Post a Comment

Post a Comment