Mfalme Mswati na wakeze
href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5ZK-gg2Uy-tMubqMqtwuHxFJ7iCIcqf3nJxkWY0CS1PH6I5S_6TgedGtn-603xuVjKZF_VWOqt8O7sZO8EI7en74kR-PeaDv0l4U9YT0BdwaUhb-4GcGCuYQxkFa0mzYok9Of/s1600-h/images%5B1%5D.jpg">
Ni uteuzi maalumu wa kumpata mke bora wa Mfalme Mswati III, desturi na mila hizi za kifalme limezoeleka nchini humo, lakini tatizo linakuja ni namna ambavyo anakidhi mahitaji ya wake zake 24 alionao kwa sasa ma sijui inakuwaje iwapo kila mwanamke atapenda kuzaa angalau watoto watano iadai ya watoto hao ni 120 ambayo ni sawa na madarasa matatu ya wanafunzi na utaratibu wa kuoa hufanywa kila anapohitaji kuongeza mke mwingine.
Post a Comment
Post a Comment