Ads (728x90)


Baadhi ya wakazi wa Visiwani Unguja wakiwa katika harakati zao za kila siku katika soko maarufu la Darajani mjini Unguja, hali hii ni ya kila siku mjini humo ambapo baadhi ya watu kutoka bara huja visiwani kujipatia bidhaa mbalimbali wka bei nafuu.

Harakati katika mitaa mbalimbali Unguja.

Post a Comment

Post a Comment