Ads (728x90)

Kila siku tunaamini safari ni safari, iwe kwa miguu, iwe kwa baiskeli, iwe kwa Vespa, iwe gari,Jahazi,Motaboti, mtumbwi, Meli, Gari, Ndege, Treni, Punda, Farasi na hata Ng'ombe kama inavyoonekana pichani huu ni ubunifu wa tangu kwa mbinu za kisasa.Wewe unadhani unaweza kusafiri kwa mtindo gani, Buni mbinu yako ya usafiri lete kibarazani ili tujadili pamoja,Mbunifu wa Kipekee atakuwa Mwanabloga Bora wa FASIHI ZA UFASAHA kwa mwaka 2009,kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Magazeti Tando wakongwe na wale wa sasa nchini atapata tuzo maalumu na zawadi...itatangazwa baadaye.(PICHA HII NI KWA HISANI YA MDAU WA BLOG)

Post a Comment

Post a Comment