Ads (728x90)


Utu Hujengwa na watu,kutokana na vitu na watu waliomo katika jamii husika, mara nyingi unapoishi katika jamii ya watu mchanganyiko hujifunza mengi ya watu hao na hivyo kukupa njia ya kuzoea hali zao na tabia zao, asilani abadani huwezi kutofautiana na watu hao kifikra, kimatendo na hata kitabia, Ukifika mahali ukikuta watu waliopo wote ni chongo nawe fumba jicho lako moja ufanane nao. Na hayo ndiyo maisha yanayopaswa kufuatwa na kila apendae kuishi kwa amani na Utulivu.

Post a Comment

Post a Comment