Wakazi wa Ubaruku Mbarali
HIZI NDIZO HISIA ZA BAADHI YA VIJANA WA UBARUKU WILAYANI MBARALI WAKIGAWANA MAFUTA BAADA YA KUTEKETEZA GARI NA KITUO CHA MAFUTA KUFUATIA MAUAJI YALIYOFANYWA NA ASKARI POLISI DHIDI YA MKAZI WA ENEO HILO.
HIZI NDIZO HISIA ZA WANANCHI,WAKAZI WA UBARUKU WILAYANI MBARALI BAADA YA KUCHOMA GARI NA KITUO CHA MAFUTA SASA WANASEMA HAWAMTAKI MWEKEZAJI.
Post a Comment
Post a Comment