Ads (728x90)



WATOTO WAKICHEZA KATIKA MTO MITA JIJINI MBEYA



WATOTO WAKICHEZA KATIKA MTO IGOGWE WILAYANI RUNGWE

Watoto hawa wa maeneo tofauti picha ya kwanza ni watoto wa kijiji Igogwe wilayani Rungwe wakicheza katika mto wa Igogwe na picha nyingine ni watoto katika jiji la Mbeya wakicheza katika mto wenye maji machafu bila kujali athari yoyote inayoweza kutokea juu ya maji hayo.

Post a Comment

Post a Comment