Ads (728x90)


WAHARIRI NA WAANDISHI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI WAKIWA WAMEBEBA JENEZA LENYE MWILI WA MHARIRI NA MWANDISHI MWENZAO DANNY MWAKITELEKO KIJIJINI NDALA MWAKALELI WILAYA YA RUNGWE JANA.

JENEZA LENYE MWILI WA DANNY MWAKITELEKO LILITELEMSHWA KABURINI, NI SAFARI YA MWISHO YA MPIGANAJI HUYU HATUTOMUONA TENA HADI PARAPANDA LA MWISHO WA DUNIA..MUNGU AILAZE ROHO YAKE KWA AMANI.

Post a Comment

Post a Comment