SILAHA ILIYOTUMIKA KUPORA MILIONI 150
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akionesha silaha aina ya SMG yenye magazine 2 za AK 47 moja ikiwa na risasi 40 na SMG yenye risasi 35 ambayo ilitumika kupora jumla ya shilingi 149,722,150 za Benki ya NMB wilayani Kyela mkoani Mbeya.
Post a Comment
Post a Comment