SHEKHE MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM,(BAKWATA) ALHAD MUSSA AMEKIPIGA MKWARA KITUO CHA REDIO CHA KIISLAMU REDIO IMAAN FM KINACHORUSHA MASAFA YAKE TAKRIBANI SEHEMU KUBWA YA NCHI KUTOKEA MJINI MOROGORO,KWAMBA HAKINA MAMLAKA YA KUTOA TAARIFA ZA KUTANGAZA MWEZI NA AMEIOMBA SERIKALI KUKICHUKULIA HATUA KITUO HICHO KWA KUWA KIMESABABISHA KUWAPA USUMBUFU WANANCHI AMBAO WENGI WAO HAWAKWENDA MASHULENI NA MAKAZINI WAKIAMINI KUWA NI SIKU YA SIKU KUU KUTOKANA NA MATANGAZO YAKE.
Post a Comment
Post a Comment