RAMADHANI KUMI LA MWISHO
BAADHI YA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU MJINI VWAWA WILAYANI MBOZI MKOANI MBEYA WAKIANGALIA BIDHAA MBALIMBALI NJE YA MSIKITI WA NNUUR MJINI VWAWA,MIONGONI MWA BIDHAA HIZO NI PAMOJA NA KOFIA,KANZU,HIJAB NA VITABU VYA DINI IKIWA NI MAANDALIZI YA KUKAMILISHA KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN AMBAO UNAKARIBIA KILELENI.
Post a Comment
Post a Comment