Mbunge wa Viti maalum wa mkoa wa Mbeya Dkt.Mary Mwanjelwa akibadilishana mawazo na na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Mbeya mjini (CCM) Bw.Benson Mpesya walipokutana katika mahafali ya kidato cha Nne katika shule ya sekondari ya Ilasi iliyopo wilayani Mbozi mkoani Mbeya.Bw.Mpesya kwa sasa ni Mkuu wa shule ya sekondari Ilasi ambapo Dkt.Mwanjelwa alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hiyo.
MKURUGENZI WA ILASI INVESTMENT CO.LTD BW.RINGTON CHAULA AKISALIMIANA NA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DKT.MARY MWANJELWA KATIKA MAHAFALI YA PILI YA SHULE YA SEKONDARI YA ILASI WILAYANI MBOZI JUZI.
MKURUGENZI WA ILASI INVESTMENT CO.LTD BW.CHAULA,AKIWA NA DKT.MARY MWANJELWA NA MKUU WA SHULE YA ILASI BW.BENSON MPESYA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA NNE KWA SHULE HIYO JUZI.
Post a Comment
Post a Comment