Ads (728x90)

Hivi ndivyo linavyoonekana soko la SIDO wakati likiteketea kwa moto leo asubuhi Jijini Mbeya

Ni tafrani wakati moto ukiteketeza Soko la SIDO jijini Mbeya leo asubuhi kila mtu anahaha kuokoa mali yake huku vibaka nao wakitafuta mwanya wa kupora mali za watu
Moto huo umeanza majira ya kati ya saa mbili na nusu hadi saa tatu huku chanzo chake kikishindwa kueleweka kama ni hitilafu ya umeme ama ni akina mama lishe wa maeneo hayo.

Wananchi na wafanyabishara wakijaribu kuokoa mali katika maduka yaliyokuwa yakiteketea kwa moto leo asubuhi
GARI la zimamoto nalo lashindwa kufanya kazi mambo juu ya mambo

Post a Comment

Post a Comment