Ads (728x90)

Hii ndio hali halisi katika maeneo mengi ya vijijini katika nchi za Kiafrika,binadamu wamekuwa wakitumia maji kwa matumizi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kunywa,kupikia na kufulia na mara nyingine hutumika hata kumwagilia mboga mboga, bali matumizi kama haya huweza kusababisha maambukizi ya ugonjwa kama vile kichocho.

Post a Comment

Post a Comment