Ads (728x90)


MAMA MMOJA (namfahamu)ALIYEFARIKI TAKRIBANI MIEZI 10 ILIYOPITA AMEKUJA KUMTEMBELEA MMOJA WA MAWAZIRI WALIOCHURIWA KWA UGONJWA NA KIFO ALIFIKA ALIPOKETI WAZIRI HUKU AKIWA ANALIA KWA KWIKWI AKATOA TITI LAKE LA KULIA NA KUMNYONYESHA,MAZIWA YA MAMA YULE YALITOKA KWA WINGI MNO HADI YAKATUMWAGIKIA WENGINE TULIOFIKA KUMJULIA HALI WAZIRI KISHA AKAAGA AKAMTAJA JINA NA KUMWELEZA KUWA WATAONANA BAADAYE( ndoto hiii nimeota saa kumi usiku nimelazimika kuamka na kupandisha kibarazani kila mtu atoe mchango wake)

Post a Comment

Post a Comment