Asakari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia FFU wakiwa tayari kwa lolote kukabiliana na maandamano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Teofilo Kisanji ambao walikuwa wakidai kucheleweshewa mikopo.
Wanafunzi wa Chuo Cha Teofilo Kisanji (TEKU)wakiwa nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya baada ya maandamano yaliyowafikisha hapo wakidai kucheleweshewa mikopo.
Askari Kanzu nao hawakuwa nyuma kuhakikisha hali ya usalama inakuwepo baina ya wanachuo hao ambao waliandamana hadi ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro.
Baadhi ya wanafunzi wa chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji TEKU wakiwa nje ya ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya leo asubuhi(PICHA KWA HISANI YA THOBIAS MWANAKATWE)
Post a Comment
Post a Comment