Ads (728x90)

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro akipokea Mwenge kutoka kwa mkimbiza Mwenge wa Kitaifa Bw.Deogratius Bulali Dafi mara baada ya makabidhiano mpakani mwa mkoa wa Rukwa na Mbeya leo asubuhi.
 Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro mara baada ya kukabidhiwa Mwenge leo asubuhi kuanza mbio zake mkoani Mbeya.
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Bw. Levisson Chilewa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro katika kijiji cha Mkutano kilichopo mpakani mwa mikoa ya Rukwa na Mbeya kabla ya kukabidhiwa mwenge wa Uhuru ulioanza mbio za siku mbili mkoani Mbeya.
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro akiteta jambo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Bi. Beatha Swai kabla ya kuanza mbio za Mwenge mkoani humo lelo asubuhi.
 Mwenge wa Uhuru ukiwasili katika ofisiz a Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi leo mchana.
 Mwenge wa Uhuru mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi leo mchana.
Wasanii wa kikundi cha Ichesa ambao waliburudisha wakati wa mbio za Mwenge wilayani Mbozi.

Post a Comment

Post a Comment