BAADHI YA WAHITIMU SHAHADA ZA UFUNDI WA TAASISI YA SAYANSI MBEYA (MIST)WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI WA SAYANSI TEKNOLOJIA NA ELIMU YA JUU PROFESA MAKAME MNYAA MBARAWA LEO MCHANA |
WAZIRI WA SAYANSI NA TEKNOLJIA ELIMU YA JUUPROF.MBARAWA AKITETA JAMBO NA MKUU WA CHUO MIST PROF. JOSEPH MSAMBICHAKA LEO MCHANA |
BAADHI YA WAHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA NA YA PILI WA MIST WAKIWA KATIKA UKUMBI WA NYERERE LEO ASUBUHI |
WAZIRI WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ELIMU YA JUU PROFESA MBARAWA AKIMALIZA KUWATUNUKU VYETI WAHITIMU WA CHUO CHA MIST LEO MCHANA |
PROFESA MBARAWA AKIMTUNUKU CHETI MMOJA WA WANAFUNZI BORA WA KIKE KWA MASOMO YA SAYANSI |
MKUU WA CHUO MIST PROFESA MSAMBICHAKA AKIZUNGUMZA WAKATI WA MAHAFALI YA SITA YA CHUO CHA MIST MAPEMA LEO ASUBUHI |
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIMSIKILIZA WAZIRI WA SAYANSI TEKNOLOJIA NA ELIMU YA JUU PROFESA MBARAWA ALIPOTEMBELEA TAASISI YA SAYANSI NA ELIMU YA JUU MIST LEO ASUBUHI |
PROFESA MBARAWA AKITOA UFAFANUZI JUU YA JAMBO ALILOLIONA ALIPOTEMBELEA KATIKA MABWENI YA TAASISI YA SAYANSI MIST |
PROFESA MBARAWA AKIZUNGUMZA WAKATI ALIPOTEMBELEA MOJA YA MITAMBO NA MASHINE ZILIZOPO KATIKA TAAISI HIYO LEO ASUBUHI |
Post a Comment
Post a Comment