Bw. Ying anakumbuka alivyofanya kazi kuanzia Kurasini Jijini Dar es salaam kati ya mwaka 1969 na baadaye Kisarawe kisha alihamia Mbeya na Mbozi hadi Tunduma ambako,amepanga kufanya ziara ya kuitembelea reli hiyo kuanzia Tunduma hadi Dar es salaam ambako amepanga kukutana na Rais Jakaya Kikwete ili amweleze mambo muhimu juu ya uboreshaji wa reli TAZARA. |
Post a Comment
Post a Comment