Ads (728x90)

Rais wa zamani wa Ufaransa Jacque Chirac akiwa na Rais wa zamani wa Marekani George Bush hii ilikuwa mwaka 2001, Rais Chirac amehukumiwa kifungo cha miaka miwili kutokana na ubadhirifu wa mali ya umma alipokuwa rais wa Ufaransa

Rais Jacque Chirac akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuhukumia kifungo cha miaka miwili kutokana na hujuma dhidi ya mali ya umma alipokuwa madarakani.

Enzi za furaha kwa Rais Jacque Chirac ilikuwa hivi, hivi sasa anatumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa ubadhirifu wa mali ya umma.

Rais Chirac akihutubia wananchi enzi za uongozi wake, hivi sasa anatumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa ubadhirifu wa mali ya umma alipokuwa madarakani.

Post a Comment

Post a Comment