Ads (728x90)

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Bw. Cripin Meela akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro katika Ikulu ndogo leo Asubuhi.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro akitia saini kwenye fomu ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt.Nouman Sigalla Ikulu ndogo Jijini Mbeya leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Bw.Chrispin Meela akitia saini katika fomu ya kiapo mara baada ya kula kiapo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Chunya Bw. Deodatus Kinawiro akila kiapo cha Utii wa kazi mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Kyela Bi.Margretha Malenga akila kiapo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Dkt. Sigallah akimsalimia Mkuu wa Usalama wa Taifa mkoa wa Mbeya Bw.Said Salmin mara baada ya kuapishwa leo asubuhi, (katikati) ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi.
Mkuu wa wilaya ya Ileje Bi.Rosemay Senyamule akila kiapo mbele ya Mkuu wa   Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro Ikulu ndogo jijini Mbeya leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Momba Bw. Abihudi Saidea akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Mbarali Bw. Gulamhusein Shaaban akila kiapo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Mbozi Dkt. Michael Kadeghe akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro leo asubuhi.
Baadhi ya wakuu wa wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mbeya  Bw. Abbas Kandoro  pamoja na Katibu tawala wa mkoa Bi. Mariam Mtunguja leo asubuhi mara baada ya kuapishwa leo asubuhi

Post a Comment

Post a Comment