Bomba lipo lakini halitoi maji miaka 20 sasa |
Wananchi wanalazimika kunywa maji ya kisima kilichochimbwa kwenye chemichemi |
Matumizi ya maji hayo ni kunywa kuoshea vyombo na kupikia majumbani |
Watu wazima na watoto hutumia maji hayo bila kujali afya zao |
Hali ndio kama ilivyo watoto huogeshwa na wanafurahia maji hayo ambayo hutumiwa pia na wanyama kama vile Nguruwe na Ng'ombe |
Watoto huogeshwa maji kama yanavyoonekana hayana sifa ya kuoga bali kwa sababu ya a matatizo na shida hutumiwa hivyo hivyo |
Post a Comment
Post a Comment