WAKAZI WA KIJIJI CHA MSHANI WAKIFURAHIA BIA BAADA YA GARI LA BIA KUANGUKA |
GARI LILILOBEBA BIA LIKIWA LIMEANGUKA |
Wakazi wa mjini Sumbawanga mkoani Rukwa mwishoni mwa wiki walijipatia dezo ya kunywa Bia za Ubwete baada ya gari lililokuwa limebeba sanduku za bia zenye pombe kuanguka.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tatu siku ya Jumamosi ambapo gari hilo mali ya kampuni ya Kanji Lalji la mjini Mbeya lililokuwalimesheheni sanduku za chupa za bia zenye vileo kuanguka katika kijiji cha Mshani km 19 kutokea katika mji mdogo wa Laela.
STORI NA PICHA KWA HISANI YA MDAU WA BLOG YA KIMBUNGANET.BLOGSPOT.COM
Post a Comment
Post a Comment