| DKT. EMANUEL SHOO NI MTAALAMU NA MTUMIAJI WA MASHINE HII AMBAYE ANAZUNGUKA MAENEO MBALI MBALI NCHINI AKITOA HUDUMA KWA WANANCHI. |
| MGONJWA ANATAKIWA KUWEKA MIGUU YAKE NDANI YA DISHI LENYE MAJI SAFI AMBAPO NDANI YAKE KINAWEKWA KIFAA MAALUMU KINACHOUNGANISHWA NA MASHINE DETOX MACHINE. |
| KWA DAKIKA TANO ZA MWANZO KATIKA NYAYO ZA BINADAMU ZENYE ZAIDI YA MATUNDU ELFU MBILI SUMU INAANZA KUTOKA MWILINI NA MAJI YANAANZA KUBADILIKA KIDOGO KIDOGO KAMA YANAVYOONEKANA PICHANI |
| TARATIBU MAJI HAYO HUANZA KUBADILIKA RANGI SUMU IKIFYONZWA KUTOKA KATIKA MWILI WA BINADAMU. |
| MAJI YANAENDELEA KUBADILIKA KADRI DAKIKA ZINAVYOYOYOMA. |
| MGONJWA ANAANZA KUSIKIA MABADILIKO MWILI WAKE UKIANZA KUWA MWEPESI KADRI SUMU INAVYOENDELEA KUTOKA MWILINI MWAKE |
| HATUA KWA HATUA MAJI HUBADILIKA NA KUWEKA UKUNGU AMBAYO NI SUMU KUTOKA KATIKA MWILI WA BINADAMU KULINGANA NA ASILIMIA YA VYAKULA VINAVYOLIWA KILA SIKU. |
| KADRI MUDA UNAVYOSONGA MBELE NDIVYO AMBAVYO SUMU INATOKA KATIKA MWILI KULINGANA NA ASILIMIA ZA ULAJI, UNYWAJI NA UVUTAJI. |
| HIVI NDIVYO SUMU INAVYOENDELEA KUTOKA KATIKA MWILI WA BINADAMU NA MAJI HUBADILIKA NA KUWA KAMA GRISI CHAFU, HII NI SUMU ILIYOMO KATIKA MWILI WA BINADAMU. |
| DAKIKA 30 KIWANGO CHA SUMU KILICHOPO MWILINI KINAONEKANA KAMA MAJI HAYO YANAVYOONEKANA KUBADILIKA RANGI NA KUWA MACHAFU |
Post a Comment
Post a Comment