| ENEO hili lipo Jijini Dar es salaam, na hapa ni Kawe karibu na uwanja wa
 Tanganyika Packers ambapo kwa sasa panatumika kama eneo la Ibada ya 
Uponyaji, lakini hata hivyo ibada inayoendelea hapo haiponyi mateja hao 
ambao huvuta bangi, hujidunga,kufanya mambo ya kihalifu, Gari hili bovu 
linatumika kama makazi yao mamlaka zinazohusika hazijachukua hatua 
yoyote dhidi ya vitendo vinavyoendelea hapa. | 
Post a Comment