ZIWA RUKWA LINAVYOONEKANA KWA SASA LIKIWA LIMEJAA TOPE |
ENEO KAVU AMBALO AWALI LILIKUWA ZIWA, ZIWA LIMEHAMA KWA UMBALI WA ZAIDI YA KILOMITA MOJA KUTOKANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA |
MAKUNDI YA NG'OMBE YAKINYWA KATIKA ZIWA RUKWA, ZAIDI YA NG'OMBE LAKI 3 HUNYWA MAJI KATIKA ZIWA HILO KILA SIKU |
MTO MOMBA AMBAO ULIKUWA UKIINGIZA MAJI KATIKA ZIWA RUKWA UKIWA UMEKAUKA NA KUBAKI MFEREJI MKAVU |
BAADHI YA VIUMBE HAI KAMA VILE KASA NA KOBE WAKIWA WAMEKUFA KUTOKANA NA KUKAUKA KWA ZIWA RUKWA LILILOPO WILAYANI MOMBA MKOANI MBEYA |
ENEO KAVU LA ZIWA RUKWA |
Post a Comment
Post a Comment