| BAADHI YA VIONGOZI WA KAMATI YA MUDA YA MBEYA PRESS WAKIJADILIANA JAMBO MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO ULIOWAENGUA VIONGOZI WA KLABU HIYO WANAOTUHUMIWA KWA UBADHIRIFU | 
| KATIBU WA KAMATI YA MUDA USWEGE LUHANGA AKISHUKURU WANACHAMA BAADA YA KUCHAGULIWA KATIKA KAMATI YA MUDA | 
| WANACHAMA MBEYA PRESS CLUB | 
| MWEKA HAZINA WA KAMATI YA MUDA EMANUEL LENGWA AKISHUKURU BAADA YA KUCHAGULIWA KUSHIKILIA NAFASI HIYO | 
| CHRISTOPHER NYENYEMBE MWENYEKITI ALIYELAZIMISHWA KUJIUZULU KUTOKANA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU HIYO | 
| PICHA YA PAMOJA YA VIONGOZI WA KAMATI NA WANACHAMA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO WA DHARURA ULIOITISHWA NA WANACHAMA LEO ASUBUHI | 
Post a Comment