MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI
MBEYA IMEMHUKUMU KIFUNGO CHA MAISHA MWANAMKE WILINIVA MKANDARA KIFUNGO CHA
MAISHA KUTOKANA NA KUMFANYIA KITENDO CHA KINYAMA MTOTO MDOGO ANETHY JOHANES
AMBAYE HATIMAYE ALIKATWA MKONO WAKE WA KUSHOTO.
AWALI MWANAMKE HUYO ALIDAIWA
KUTENDA MAKOSA HAYO NOVEMBA MWAKA JANA KATIKA MTAA WA MAJENGO AMBAPO ALIKUWA AKIMPIGA NA KUMTESA MTOTO HUYO AMBAPO MBALI NA MATESO
ALIYOKUWA AKIMPA MTOTO HUYO ALIKUWA AKIMLAZIMISHA KULA KINYESI.
Post a Comment
Post a Comment