ALIYEWAHI
KUWA BINGWA WA NGUMI WA UZITO WA JUU WA DUNIA MUHAMMAD ALI(71) YUKO MAHUTUTI NA
HAJITAMBUI KUTOKANA NA HALI YAKE YA AFYA AMBAPO KWA SASA HALI YAKE IKO KATI YA
UHAI NA KIFO.
KWA
MUJIBU WA KAKA WA BONDIA HUYO AMBAYE PIA NI BONDIA RAHMAN ALI ALILIAMBIA
GAZETI LA THE SUN LA NCHINI UINGEREZA KUWA NDUGUYE YUKO KATIKA HALI MBAYA YA
KIAFYA NA KWAMBA HAJITAMBUI KA LOLOTE.
‘’MUHAMMAD
ALI
YUKO KATIKA HALI MBAYA SANA ANAUMWA SANA NI MAHUTUTI, INAWEZA KUWA MWEZI
INAWEZA KUWA SIKU SIJUI KAMA ANAWEZA
KUMALIZA MSIMU HUU WA MAJIRA YA JOTO,TUMEIACHA HALI HII MIKONONI MWA MUNGU’’ALISEMA
RAHMAN.
|
Post a Comment
Post a Comment