Ads (728x90)

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRIPIN MEELA AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA OFISI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRIPIN MEELA AKIKARIBISHWA KATIKA OFISI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA NA  MWENYEKITI WA KAMATI YA MPITO YA KLABU HIYO BRANDY NELSON


''KARIBU OFISINI KWETU MKUU!!!

MWENYEKITI WA KAMATI YA MPITO YA MBEYA PRESS AKIMUONGOZA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE, CRIPIN MEELA KATIKA OFISI YA KLABU NI KAMA ANASEMA, ''OFISI YETU IKO KICHOCHORONI VUMILIA MKUU BADO HATUNA UWEZO WA KUWA NA OFISI YETU BINAFSI''

''TUNAPANDA GHOROFANI OFISI YETU INA CHUMBA KIMOJA''


ILIFIKA MUDA WA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE KUTOA NENO LAKE KWA WANAHABARI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA FUPI KUTOKA KWA UONGOZI WA MBEYA PRESS

''HONGERENI SANA KWA MABADILIKO, MLIKUWA MNAPOTEZA FURSA NYINGI SANA, SASA WEKENI UONGOZI BORA WENYE TIJA KWENU NYINYI NI KIOO, MABADILIKO YENU YAMEONESHA DHAHIRI KWAMBA MNACHOKIANDIKA NDICHO MNACHOKIMAANISHA, SERIKALI ITAENDELEA KUWAUNGA MKONO KWA JITIHADA ZENU ZA KUFICHUA MAOVU''

''MNAZO FURSA NYINGI KUPITIA WADAU WENU MNAOFANYA NAO KAZI, WALA HAMPASWI KUENDELEA KUWA NA HALI DUNI, TUMIENI FURSA YENU KUTOKANA NA UWEZO WENU KWANI MNA UWEZO WA KUTOKA KATIKA HALI HII NA KUFIKIA HALI NYINGINE YA KIUCHUMI''




''NAWASIHI MTEMBELEE WILAYANI KWETU RUNGWE TUNA MAMBO MENGI YA KIJAMII AMBAYO MNAWEZA KUIBUA NA KUIPATIA CHANGAMOTO SERIKALI''
 


''MNAJUA KUWA NINYI NI MUHIMILI WA NNE USIO RASMI, TUFANYE KAZI KWA PAMOJA ILI KULETA MAENDELEO YA TAIFA LETU''

 MNAPOKUJA RUNGWE MSISITE KUNIPIGIA SIMU KUPATA UFAFANUZI WA MAMBO  MBALIMBALI YA KIJAMII

Post a Comment

Post a Comment