KITUO CHA POLISI CHA IGURUSI KILICHOTELEKEZWA |
JIWE LA MSINGI LILILOWEKWA NA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE MWAKA 2005 NALO LIMEANZA KUFUTIKA |
JENGO HILI LA KITUO CHA POLISI IGURUSI LILIJENGWA KWA NGUVU ZA WANANCHI BAADA YA KUIBUKA KWA VITENDO VYA UHALIFU IKIWEMO MAUAJI YA USHIRIKINA, KITUO HIKI KIMEGHARIMU JUMLA YA SH. MILIONI 32 LAKINI HADI SASA KIMETELEKEZWA HAKIENDELEZWI NA KIMEKUWA KAMA PAGALA LA KUJIFICHA WAHALIFU.
Post a Comment
Post a Comment