Ads (728x90)

MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA UCHUNGUZI JUU YA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU YA MBEYA,BRANDY NELSON AKISOMA TAARIFA YA UCHUNGUZI YA KAMATI HIYO NAMNA AMBAVYO WALIHUJUMU FEDHA ZA KLABU HIYO ZAIDI YA SH MILIONI 10
 
MJUMBE WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA DANNY TWEVE AKICHANGIA HOJA YA KUTAKA WANAODAIWA KUFANYA UBADHIRIFU WAFIKISHWE MAHAKAMANI BAADA YA KUSOMWA KWA TAARIFA YA KAMATI YA UCHUNGUZI JUU UA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU

MJUMBE WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI MBEYA ANGELICA SULUSI NAYE AKICHANGIA HOJA YA KUTIMULIWA UANACHAMA KWA WALIOKUWA VIONGOZI WA KLABU HIYO BAADA YA KUBAINIKA KUWA WAMEFANYA UBADHIRIFU
 
MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA KLABU MBPC BRANDY NELSON AKIAINISHA JAMBO KATIKA VIFUNGU VYA KATIBA YA KLABU HIYO JUU YA UKOMO WA MWANACHAMA BAADA KUBAINIKA AMEKIUKA TARATIBU ZA UANACHAMA

MTUNZA HAZINA WA MUDA WA KAMATI YA MPITO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA EMANUEL LENGWA AKIPONGEZWA NA WANACHAMA KWA KAZI NZURI YA RIPOTI YA KAMATI HIYO


MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA MPITO BRANDY NELSON AKIPONGEZWA NA WANACHAMA KWA KAZI NZURI YA RIPOTI YA KAMATI HIYO

MJUMBE WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA CHARLES MWAKIPESILE AKIMPONGEZA MWENYEKITI WA KAMATI YA MPITO WA KLABU HIYO KWA TAARIFA NZURI



Post a Comment

Post a Comment