BAADHI YA WANAHABARI WAKIBURUDIKA KWA MUZIKI WAKATI WA SHEREHE ZA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA VIWANJA VYA UHASIBU JIJINI MBEYA |
WATOTO NAO HAWAKUWA NYUMA KUSHANGAA, HAPA WATOTO WAKIMSHANGAA MTOTO MWENZAO WAKATI AKIREKODI MATUKIO KWENYE SHEREHE ZA MEDIA DAY |
BURUDANI INAENDELEA HAPA WANAHABARI NA BAADHI YA WAHESHIMIWA MADIWANI WAKIJIMWAGA KWENYE KWAITO!! |
WANAHABARI SOLO MWANSELE, DANNY TWEVE NA ESTHER MACHA WAKIFUATILIA MIDUNDO YA MUZIKI WAKATI WA SHEREHE ZA MEDIA DAY KWENYE VIWANJA VYA CHUO CHA UHASIBU JIJINI MBEYA |
NAYE MTOTO WA MWANDISHI MKUU WA BLOGU YA MBEYA YETU ERICK JOSEPH MWAISANGO AKIMSAIDIA BABA YAKE KUCHUKUA BAADHI YA MATUKIO KWENYE BONANZA LA WANAHABARI JIJINI MBEYA |
MWANAHABARI DANNY TWEVE AKICHUKUA MATUKIO WAKATI WA MCHUANO KWENYE BONANZA LA WANAHABARI KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA UHASIBU TIA |
TIMU KABAMBE YA SOKA YA WANAHABARI AMBAYO ILICHABANGWA BAO 1-0 NA TIMU YA RADIO BARAKA WAKATI WA BONANZA LA WANAHABARI VIWANJA VYA CHUO CHA UHASIBU JIJINI MBEYA |
Post a Comment
Post a Comment