Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii ya Face Book na Blog ambao
watabainika kutumia vibaya mitandao yao kwa kutoa lugha za matusi na maneno ya
kejeli kwa wengine wataanza kudhibitiwa kwa kuadhibiwa kulipa faini ya zaidi y
ash. Milioni tatu au kifungo.
Burudika, Habarika, Elimika
Post a Comment
Post a Comment