JAJI MUTUNGI AVAA VIATU VYA TENDWA, ATEULIWA KUWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA Rashid Mkwinda 8:14 PM Jaji Francis S Mutungi ameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini anachukua nafasi ya John Tendwa Bw. John Tendwa aliyekuwa msajili wa Vyama vya Siasa nchini mpya
Post a Comment
Post a Comment