Watoto hawa wanaopaswa kuwa shuleni nyakati kama hizi, walikutwa na kamera yetu wakifanya kibarua cha kusommba mchanga katika eneo la Sinde Jijini Mbeya, pamoja na jitihada za serikali kupinga ajira kwa watoto bado jamii inaendelea kuwatumia watoto kwa ujira mdogo |
Post a Comment
Post a Comment