Mabadiliko ya Tabia nchi na Athari zake na matumzi mabaya ya ardhi huathiri mazingira |
Wanavijiji wanapaswa kupewa elimu ya mara kwa mara juu ya mabadiliko ya Tabia nchi na Athari za Mazingira ili waweze kukabiliana na hali halisi ya mabadiliko. |
Athari itokanayo na mabdiliko ya Tabia nchi huvikumba vizazi na athari yake itaonekana baada ya miaka mingo ijayo, urithi wa baadaye kwa vizazi vijavyo hutegemea maandalizi bora kwa vizazi vya sasa |
Elimu Shirikishi kwa matumizi bora mimea na uoto wa asili huwazindua wananchi |
Wanafunzi katika shule za Msingi wanapaswa kuelimisha namna ya utunzaji wa mazingira kwa manufaa yao siku za usoni |
Zamani wazee walijitahidi kuhifadhi miti ya asili na kuitunza hata vizazi vya sasa vikaikuta miti hiyo ambayo hutumiwa kwa ajili ya vivuli, matunda na uhifadhi wa maji katika vyanzo vya mito |
Dhana shirikishi kwa mchango kati ya Assasi za Kiraia na Watendaji wa serikali itasaidia kuleta ufumbuzi wa matatizo ya uharibifu wa mazingira |
Jamii za wafugaji na wakulima wanao mchango mkubwa kufanikisha tatizo la uharibifu wa mazingira linatoweka nchini |
Post a Comment
Post a Comment