Kikosi kamili cha Timu ya Mbeya City kikikwea Pipa ndege ya kampuni ya FastJet kuelekea Bukoba kupitia Dar es salaam na Mwanza kwa ajili ya mechi ya ligi Kuu itakayochezwa mkoani Kagera kati ya timu hiyo na Kagera Sugar.
Mwenyekiti wa timu ya Mbeya City Mussa Mapunda akimkabidhi jezi za timu ya Mbeya City mfanyakazi wa ndani ya ndege ya Fast Jet muda mfupi kabla ya ndege hiyo kupaa angani kwa safari ya kuelekea Bukoba kupitia Dar na Mwanza leo asubuhi
Post a Comment
Post a Comment