Shamba la pareto lililotelekezwa katika kijiji cha Pashungu wilayani Mbeya |
Kwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi zinazoendelea kufanywa na waandishi mahiri wa habari za Kilimo ni kwamba,baadhi ya nchi za kigeni zilizopakana na Tanzania zimeanza kununua mamia ya tani za mbegu za pareto na kuhamishia katika nchi zao kwa nia ya kuua uzalishaji wa pareto hapa nchini.
Taarifa za awali zinadai kuwa uhamishaji huo wa mbegu unafanywa kwa kutumia makampuni ya kigeni ambayo huwalaghai wakulima wa zao hilo kwa kuwaahidi pembejeo za kilimo na mambo mengine na kuwashawishi wauze mbegu hizo ambazo kwa kawaida ndio msingi wa kilimo cha pareto kwa mkulima huyo.
Imedaiwa kuwa makampuni hayo ambayo yamevamia kwa kasi katika vijiji vilivyopo wilayani Mbeya.......NSIKUMALIZIE UTAMU BADO INAFANYIWA KAZI ITAKUJIA HAPA HAPA KATIKA BLOGU YAKO UIPENDAYO...kaa mkao wa kula...
Post a Comment
Post a Comment